kareem kim
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 459
- 697
Mungu akusimamie hitaji lakoHello ......Mambo zenu umu
Mwanaume mtanashati,mrefu kama mm mcha Mungu wa bata kiasi sio sana .
Sio lazima awe na gari ila awe mwanaume modern kiasi..
Mchapakazi popote Tanzania sio lazima dar 2.
Makazi yangu mimi ni dar
Umri wangu ni miaka 23 ila nataka mwanaume wa 23-30 hivi
Asantee ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Ubora WakoHebu tumia fursa hiyo
Umemisika ujueKatika Ubora Wako
Inaonekana 50000 ni busu tuIyo sasa inaitwa tugawane umasikini... Buku2 ata ziwa sikupi ushike
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulio na umri wa 50 ndo umefunga vioo?Hello ......Mambo zenu umu
Mwanaume mtanashati,mrefu kama mm mcha Mungu wa bata kiasi sio sana .
Sio lazima awe na gari ila awe mwanaume modern kiasi..
Mchapakazi popote Tanzania sio lazima dar 2.
Makazi yangu mimi ni dar
Umri wangu ni miaka 23 ila nataka mwanaume wa 23-30 hivi
Asantee ..
Sent using Jamii Forums mobile app
ohoooooookuna thread jamaa analia et huyu demu kampiga mzinga.
umesaidiwa huyo mmoja?Ukipata wengi nisendie mmoja na mm shoga angu..
Ila awe na hela tu ayo mengne mbwembwe ty
Sent using Jamii Forums mobile app