Hahaaa kiongozi hili suala niliambiwa kabla sijamaliza ila nilipomaliza nilijikuta nazunguka mwaka mzima bila bila nikaona nirudi nangu nangurukuru nipambane tu na mtaa kwa namna zingine.ππLeseni umebeba? Kwanini ujitolee vijiwe vya kupiga pesa vipo endelea kutafuta
Kijana azunguke japo vijiwe vya co vingumuππ zahanati zenyewe njaa tu wanalipa 150k laki 3 hapo ndo wamekulipa sanaHahaaa kiongozi hili suala niliambiwa kabla sijamaliza ila nilipomaliza nilijikuta nazunguka mwaka mzima bila bila nikaona nirudi nangu nangurukuru nipambane tu na mtaa kwa namna zingine.ππ
Kama una Leseni njoo pm,lakini uwe tayari kufanya kazi Wilaya au Mkoa wowoteHabari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana nipo mkoa wa mwanza, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (utabibu) katika ngazi ya certificate (tabibu msaidizi)/ clinical Assistant, hivyo Basi nilikuwa naomba/ natafuta nafasi ya kujitolea iwe zahanati au kituo cha afya, naweza kufanya kazi maabara, duka la dawa, OPD nk.
Mawasiliano yangu 0623332979
NAWASHUKURU.
Kama una Leseni njoo pm,lakini uwe tayari kufanya kazi Wilaya au Mkoa wowote
Mkuu habari..na mimi nilikua nahitaj msaada KAMA TAJWA APO JUU nimehitimu 2024.Nipo na 25years old naishi nyamagana MWANZA ndani ya wiki hii ntakua tayari registered na leseni piaKama una Leseni njoo pm,lakini uwe tayari kufanya kazi Wilaya au Mkoa wowote