Natafute mke

Natafute mke

Nautico

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2017
Posts
341
Reaction score
788
Somo lajieleza

Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 31
Nishawahi kuoa na kupata mtoto mmoja kwenye ndoa,lakn ndoa yetu haikua riziki mwenza wangu aliipenda michepuko.

Ni mwajiriwa pia mjasiliamali.

Kwa mwanamke mwenye uhitaji kweli wa mme njoo tuyajenge.
Umri kati ya 25~28
Mkristo
Uwe na kazi au bila kazi sawa tu kikubwa unajielewa

Rangi yeyote

Usiwe mnene saana kupitiliza

Nawasilisha.

Nyongeza naishi Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom