Duuh mi nahitaji gari kwa matumizi yangu alafu wewe unasema mimi ni dalali alafu ata ningekuwa dalali kwani kuna ubaya gani endapo mi nikiwa dalali na nikakupa ela unayotaka mzee mbona sion shida apo as long as tumeelewana kwenye biashara yetuBila shaka we ni dalali
Nani kasema kuna shida?Duuh mi nahitaji gari kwa matumizi yangu alafu wewe unasema mimi ni dalali alafu ata ningekuwa dalali kwani kuna ubaya gani endapo mi nikiwa dalali na nikakupa ela unayotaka mzee mbona sion shida apo as long as tumeelewana kwenye biashara yetu