Nataka Chukua Mkopo Kutoka Bank hapa Tanzania

Nataka Chukua Mkopo Kutoka Bank hapa Tanzania

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
Mimi ni muajiriwa wa serikali ninatka kuchukua mkopo wa mda mrefu nipate kiasi kikubwa, take home yangu nikama 460000 hivi.

Nishauri niende bank gani ambayo inatoa pesa ndefu kidogo.

Asante
 
Sawa lkn nasikia nmb wanabana,hawatoi dau refu kidogo
 
Nenda NMB pamoja na saraly slip ukaulize kuwa unaweza kukopa shilingi ngapi,ila naona kama unaweza kopa kama milioni nne na hela kidogo kwa mkataba wa makato kwa miezi 36.
 
Nitajaribu mm nilitaka wakunukata hata miaka mitano nipate km m.6 hivi@Mkumbizi
 
Nitajaribu mm nilitaka wakunukata hata miaka mitano nipate km m.6 hivi@Mkumbizi

Kama ni miaka mitano nenda CRDB uongee nao pia BARCLAYS wanatoa hadi miaka sita ila riba yao sasa.... unaweza lia.
 
Nitajaribu mm nilitaka wakunukata hata miaka mitano nipate km m.6 hivi@Mkumbizi

Kunajamaa alipata wiki iliyopita alikuwa na mkopa makato ni shilingi 58,000/- alikopa shilingi 1500000/-unaishia mwezi wa nane,hiyo juzi alichukua milioni 3700000/= akalipa mkopo uliobaki wa laki saba,take home yake ilikuwa 351,000/=Baada ya kufanya hesabu walimkopesha hapo hapo NMB nenda hapo kwa hiyo yako unaweza pata zaidi ya milioni nne.
 
Mm ni muajiriwa wa serikali ninatka kuchukua mkopo wa mda mrefu nipate kiasi kikubwa,take home yangu nikama 460000 hivi.Nishauri niende bank gani ambayo inatoa pesa ndefu kidogo.Asante!!

Nipm mkuu nikupe details za barclays tutakupa zaidi ya mil 7 kwa iyo tek hom yako na utakuwa mkopo wa miaka 6.
 
Mm ni muajiriwa wa serikali ninatka kuchukua mkopo wa mda mrefu nipate kiasi kikubwa,take home yangu nikama 460000 hivi.Nishauri niende bank gani ambayo inatoa pesa ndefu kidogo.Asante!!

crdb wanamkopo wa hela kubwa, kwa hcho unachokipata waweza kukopa had 8mil ukalipa kwa 5 years kwa makato ya lak mbil kasoro ingawa si zaid ya lak 2. halaf hawana longolongo umechelewa sana siku kumi na wapo makini. malipo ya kugarmia mkopo ni chin ukilnganisha na bank nyngne. hata bank ya posta ni wazuri kw mkopo.
 
Angalizo tu ni kwamba most banks do not just give unsecured personal loans kwa waajiriwa. Inawezekana zote zikahitaji undertaking from your employer kuwakopesha staff wake.
Angalia if such arrangement is in place kwenu na ni kwa benki gani.
Unfortunately employer anaweza kuwa amesaini hiyo kitu na benki moja au mbili pekee.
Otherwise, bank nyingi hazitoi personal loans openly.
 
Usijichoshe akili,nenda nmb.Waombe mkopo wa miezi 60.unaweza pata kiasi unacho hitaji.
 
Back
Top Bottom