Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

IST second hand Hapa bongo Andaa milion 8 na ikizidi sana milion 9
Kwa hio pesa unaipata ikiwa na hali nzuri sana endapo ukatuliza mapepe ila hizo za 5m mpaka 6m jua lazma iwe na vipengele aidha wamekata engine imekula mswaki ama ishagongwa gongwa sana body!
 
Kwa hio pesa unaipata ikiwa na hali nzuri sana endapo ukatuliza mapepe ila hizo za 5m mpaka 6m jua lazma iwe na vipengele aidha wamekata engine imekula mswaki ama ishagongwa gongwa sana body!
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Utapata ya ml 6 lkn itakuwa no c
Bora apate C ila ilionyooka kwa 6m sio mbaya! Kinachoboa ni ile unanunua gari unaanza kuhangaika na mafundi on the spot! Inakera sana yani😅

Kagari atleast uburuze nako hata miezi 6 ndio ukabadilishe bush bush zile. Ukiweka mpya unadunda hata mwaka ndio uende tena major maintanance sio gari wewe week barabarani week garage!
 
Kununua gari kutoka mkononi mwa mtu ni hatari kidogo, uwezekano wa kuuziwa kimeo ni mkubwa. Ni jambo linahitaji umakini na utulivu mkubwa.
Tatizo kubwa sana la Tz huwa sio wa kweli na wawazi kwenye biashara, ni rahisi mnoo kuaminishwa uongo na kufichwa ukweli halisi.
 
Back
Top Bottom