Nataka Gari Nina Tsh 10M Madalali karibuni

Nataka Gari Nina Tsh 10M Madalali karibuni

M-FINANCE

Senior Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
107
Reaction score
142
Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi

Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema

1. Kluger
2. Harrier
3. Murano
4. Dualis
 
Jaribu kumcheki sosy magari Instagram usimsahau fundi mkaguzi maana hizi used ni betting
 
Dualis itoe hapo huwezi pata hata ukifunga na kusali kwa mwaka mzima kwa hiyo offer yako.
Murano zipo kibao.
Harrier pia utajitwisha la 3.0
Kluger ninayo namba B
Njoo inbox kama upo serious
 
Apo ni sawa na kuwadorishia madalali afu ukabaki na ela yako.
 
Back
Top Bottom