Yaani Madalali wataishia tu kujilamba midomo! 😬😬😬 Angeweka na IST kwenye hiyo orodha! Hakika wangetoana roho.Daah!! kwa hizi gari ulizotaja,nina hakika madalali hawatakuja.Maana umewabana sana,hela yao hawataipata!!
kitaeleweka tu.Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi
Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema
1. Kluger
2. Harrier
3. Murano
4. Dualis
Umeshapata gari unayoitaka kati ya hizo?Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi
Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema
1. Kluger
2. Harrier
3. Murano
4. Dualis