IWE SUV (RAV 4, XTRAIL, HARRIER, CRV ETC)
SIHITAJI DALALI BALI MMILIKI. IWE IMENYOKA.
DALALI KAA MBALI. BEI NI KULINGANA NA HALI YA GARI YAKO.
Mkuu kama ni biashara Weka picha tuitathmini.Nicheki 0629141259 ñikutumie picha za harrier tuelewane bei
Mkuu kama ni biashara Weka picha tuitathmini.
Huko pamejaa madali mkuu. HAwafai hawa jamaaIngia kupatana.com
Hawa matangazo mengi ila hawana jipya magari tangu yaliyowekwa mwezi wa May yapo na hakuna watangazaji wapyaNataka gariiiiiiiii,natakagari.com....
Unakajua hako kawimbo ka ka tangazo flani.
hii kiboko mkuu, sitaweza hayo maji marefuNauza 2012 Ford Escape xlt
nimeshakujibu PM bajeti yangu n.k mkuuNicheki 0629141259 ñikutumie picha za harrier tuelewane bei
hii kiboko mkuu, sitaweza hayo maji marefu