MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwa Mwamposa vipi?Nawachoka sasa naitwa KEROZENE Ok?
Nasubiri Kesho ( Jumamosi ) kuna Kongamano la Wanawake ( akina Mama ) najua kama Kawaida yangu sitokosa wale walioishiwa Nauli kwa Sadaka ya Kujimaliza ili nikawabandue vizuri na Bwerere tu.Kwa Mwamposa vipi?
Wala hiyo sio dawa, hata ulete benchi la ufundi la makocha wote wa ulaya, hatutoboiii!!tatizo letu hakuna wachezaji wenye kiwango cha kimataifa, mchezaji kwenye club yake ya ndani tu hapa anachoma mahindi, huyo ndiye uje kumtegemea kwenye timu ya taifa??1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi
2. Ally Mayai Meneja wa Timu...
Popoma ndiyo nini?Wewe unataka kama nani popoma?
🤣🤣🤣🤣🤣Sadaka ya kujimaliza ndo ipojeNasubiri Kesho ( Jumamosi ) kuna Kongamano la Wanawake ( akina Mama ) najua kama Kawaida yangu sitokosa wale walioishiwa Nauli kwa Sadaka ya Kujimaliza ili nikawabandue vizuri na Bwerere tu.

Karia mpuuzi tu wa kuondoa paleWaziri mkuu Leo amesema kina KARIA wajitafakali ,maana walijipitisha bila kupingwa.
Ishu ni kwamba Watz hatujajaliwa kujua mpira, tubaki na mentality hiyo cku zote za maisha yetu kwamba ktk vitu ambavyo Watz hatujabalikiwa basi ni kutojua kucheza mpira, lkn pia co mpira tu bali ni michezo kwa ujumla.1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi
2. Ally Mayai Meneja wa Timu
3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa
Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye Viwango wa Kimataifa na anayejua Kucheza Soka la Kimalengo na siyo Soka la Hamasa, Siasa na Upuuzi.
Maoni yangu yaheshimiwe tafadhalini.
sijui WASHAURI huwa wao wanashauriwa na nani.1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi
2. Ally Mayai Meneja wa Timu
3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa
Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye Viwango wa Kimataifa na anayejua Kucheza Soka la Kimalengo na siyo Soka la Hamasa, Siasa na Upuuzi.
Maoni yangu yaheshimiwe tafadhalini.
una umri gani humu jukwaani mkuu.Popoma ndiyo nini?
una umri gani humu jukwaani mkuu.Popoma ndiyo nini?
Huyo uliyemquote ndio popoma mwenyewe.una umri gani humu jukwaani mkuu.
Maana jukwaa limevamiwa haswaa.