Nataka hawa ndiyo wawe katika Benchi la Ufundi la Taifa Stars na siyo 'Goigoi' walioko sasa

Maoni yako si mabaya lakini kim hana kosa
 
Hata akiletwa Anchelotti, Kibu Denis hawezi kuwa Benzema.

Tatizo sio Kocha. 😁
 
Na unaposema "unataka" wewe ni nani nchi hii?

Labda useme unapendekeza popoma.
Labda ni kiongozi wa CCM maana hao ndio wanadhani kila kitu ni chao. Uliona hata baada ya ushindi wa Benin eti mpaka Waziri mkuu anaenda kwenye mazoezi ya Stars anawekewa na kiti kabisa.
Ile ilikuwa kuwaweka vizuri kisaikolojia Watanzania kuwa serikali ya CCM ina mchango mkubwa kwenye ushindi (kwani walishaamini WC tunaenda). Baada ya kufungwa wanaicheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…