Nataka hii kitu

Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]

piga skwaji....nyanyukia kwa nyuma...baada ya mwez jiangalie kweny kioo...utapenda
 
Wewe mleta mada mama yako anahio nafasi maana vitu vingine vinaenda kwa kurithi wewe utapiga msamba yawe mengine
 
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]

Nitafute nikupe mazoezi sahihi....mwezi mmoja tu utapendeza kupita huyo aliyejiphotoshop.
 
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]

Weka kwanza ulivyo ndo nikupe ushauri kulingana na ulivyo
 
Haya ni maumbile tu, usiumize kichwa wala nini.

Chunguza napenda kitu chako uniq.......
 
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]

Nauitaga mwanya wa kati balaa hiyo figure

Na wasiwasi na jinsia yako wanawake wengi wa bongo wanaziponda hizi figure so sijui wewe umeyajuaje haya maujanja

Wacheza yoga wengi wanamiliki hizo tigh gap just practice yoga ila body lazima ipungue
 
Yani hakuna kitu napenda kama kuona mwanamke anapenda mazoezi kwa maana mazoezi ndio furaha yangu huwa nawaza sana kuhusu kupata mke? Itakuwaje nikipenda msichana ambae hapendi mazoezi? Nafikiri hili litanitesa sana itabidi nitafute mke gym[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]

Weka kwanza picha ya nyuma yako ili tuone pakoje ndo tukushauri utafanyaje ili uwe kama huyu pichani
 
Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap[emoji7][emoji7][emoji7]

Hahaaa mkuu unaonekana uko vzuri kwa hizo mambo[emoji1]

Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
 
Its genetic lakini wanaweza kufanya cosmetic surgery kuondoa mafuta yalio kati kati ya thighs zako au unaeeza kuacha kula mpaka ukonde lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…