Nataka ingia kwenye biashara ya samaki

Nataka ingia kwenye biashara ya samaki

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi

Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
 
Wala hamaanishi formalini ukiingia huko utamuelewa
SIWAELEWI mnaongelea nini,mwanzo nilihisi jamaa ni mshirikina,nikataka kumu-ignore nisiwe naona post zake,then kuna member akaongelea kuwa maji ya maiti ni formalin,naona na wewe unataka kunirudisha kwenye fikra za yule wa kwanza.

Mnataka kusema huwezi kufanya biashara ya samaki bila kitu gani?
 
IBRA wa PILI fanya kufika eneo la kazi ujionee mwenyewe ndo jambo jema zaidi. Ungekuwa umechagua Musoma ningekupatia msaada wa ninachojua kwa upande wangu.
 
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi

Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
Unataka kufanya biashara mtandaoni?
Yaani nitakupa maarifa iwapo tu utataka
 
Back
Top Bottom