IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
kivipWeka oda ya maji ya maiti mapema
Uki-get into fish Business ndio utaelewa.kivip
Formalin hizo ni chemical ambazo hutumika kuhifadhia maiti ishalibike..wanaita kitaalam embalming process.kivip
Mkuu hizo formalini zinatumikaje kwenye biashara ya samaki?uki-get into fish Business ndio utaelewa.
Wala hamaanishi formalini ukiingia huko utamuelewaMkuu hizo formalini zinatumikaje kwenye biashara ya samaki?
SIWAELEWI mnaongelea nini,mwanzo nilihisi jamaa ni mshirikina,nikataka kumu-ignore nisiwe naona post zake,then kuna member akaongelea kuwa maji ya maiti ni formalin,naona na wewe unataka kunirudisha kwenye fikra za yule wa kwanza.Wala hamaanishi formalini ukiingia huko utamuelewa
Weka hapa tunufaike wote sio ibra tu wengi hii biashara tunaifikiriaIBRA wa PILI fanya kufika eneo la kazi ujionee mwenyewe ndo jambo jema zaidi. Ungekuwa umechagua Musoma ningekupatia msaada wa ninachojua kwa upande wangu.
Unataka kufanya biashara mtandaoni?Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi
Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
Musoma kupoje mkuuIBRA wa PILI fanya kufika eneo la kazi ujionee mwenyewe ndo jambo jema zaidi. Ungekuwa umechagua Musoma ningekupatia msaada wa ninachojua kwa upande wangu.
Kumbe ni kweli.... Dah...!!!Weka oda ya maji ya maiti mapema