Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu.

Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
 
Sinza utawezana nao! Siku niliombwa laki2 suruali inayouzwa 20000 k.koo
 
Wakuu.

Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
Karibu mkuu nikuuzie kwa bei ya jumla 17000 tu jeans Kali quality insta @ maple_tz au 0753057000
 
Back
Top Bottom