Nataka jua,maraisi wa nchi waliwahi tokewa na malaika wakati wa utoto wao,au mujiza wowote

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Kuwa Kiongozi c jambo dogo tena kuongoza mamilioni,ni mpango wà Mungu.
Tunaona viongozi Kama Yusuph waliota ndoto na wakajua,sasa enyi waanndishi andaeni makala muwahoji marais tujue wAlikuwa na siri gani iwapo walijua unabii kuwa watakuwa viongozi ama kwa ndoto au Kutokewa na malAika,maana c jambo dogo Mimi hata uenyekiti wa mtaa siwezi shinda.
Niite Mlokozi.
 
Viongozi wa sasa hivi wanatokewa na shetani badala malaika ili kupokea instructions, na ndio maana ni wakatili sana na wako tayari kuua mtu yoyote.
 
Kuwa Kiongozi c jambo dogo tena kuongoza mamilioni,ni mpango wà Mungu.
Tunaona viongozi Kama Yusuph waliota ndoto na wakajua,sasa enyi waanndishi andaeni makala muwahoji marais tujue wAlikuwa na siri gani iwapo walijua unabii kuwa watakuwa viongozi ama kwa ndoto au Kutokewa na malAika,maana c jambo dogo Mimi hata uenyekiti wa mtaa siwezi shinda.
Niite Mlokozi.
Kiongozi wao mtarajiwa atakua anaratiba kamili
 
Kwa sababu Mungu ndie msanii mkuu na ndie huratibu ndoto zote na maisha ya mwanadamu kabla ya kuzaliwa hadi kifo
ni kweli MUNGU ndiye msanii mkuu lakini haratibu kila ndoto anayoota mwanadamu kwasababu kuna ndoto za mizimu, kishetani ambazo hata hazihusiani naye.
 
Kwahiyo wakina mobutu sesseseko na idd amin,hitler ni mipango ya Mungu[emoji41][emoji41]
Ndio Mungu ndie hupiganisha vita visavyote vya wafalme ni yeye huandaa ili atukuke na huwaandaa hats maadui na badae kumfanya sauli mshindi
 
Back
Top Bottom