FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Viongozi wa sasa hivi wanatokewa na shetani badala malaika ili kupokea instructions, na ndio maana ni wakatili sana na wako tayari kuua mtu yoyote.Kuwa Kiongozi c jambo dogo tena kuongoza mamilioni,ni mpango wà Mungu.
Tunaona viongozi Kama Yusuph waliota ndoto na wakajua,sasa enyi waanndishi andaeni makala muwahoji marais tujue wAlikuwa na siri gani iwapo walijua unabii kuwa watakuwa viongozi ama kwa ndoto au Kutokewa na malAika,maana c jambo dogo Mimi hata uenyekiti wa mtaa siwezi shinda.
Niite Mlokozi.
Yusuph alioteshwa ndoto na ni Mungu ndie hutuotesha aliota ndoto ya masuke 12 kumwinamiamalaika ni kitu gani?
unaweza kuthibitisha kua yusufu alitokewa na malaika?
umejuaje kuwa mungu ndiye alimuotesha?Yusuph alioteshwa ndoto na ni Mungu ndie hutuotesha aliota ndoto ya masuke 12 kumwinamia
Kwa sababu Mungu ndie msanii mkuu na ndie huratibu ndoto zote na maisha ya mwanadamu kabla ya kuzaliwa hadi kifoumejuaje kuwa mungu ndiye alimuotesha?
nani kasema hivyo?Kwa sababu Mungu ndie msanii mkuu na ndie huratibu ndoto zote na maisha ya mwanadamu kabla ya kuzaliwa hadi kifo
Hayo maneno umeambiwa na Mungu mwenyewe au umeambiwa na watu?Kwa sababu Mungu ndie msanii mkuu na ndie huratibu ndoto zote na maisha ya mwanadamu kabla ya kuzaliwa hadi kifo
Kiongozi wao mtarajiwa atakua anaratiba kamiliKuwa Kiongozi c jambo dogo tena kuongoza mamilioni,ni mpango wà Mungu.
Tunaona viongozi Kama Yusuph waliota ndoto na wakajua,sasa enyi waanndishi andaeni makala muwahoji marais tujue wAlikuwa na siri gani iwapo walijua unabii kuwa watakuwa viongozi ama kwa ndoto au Kutokewa na malAika,maana c jambo dogo Mimi hata uenyekiti wa mtaa siwezi shinda.
Niite Mlokozi.
kabisaViongozi wa sasa hivi wanatokewa na shetani badala malaika ili kupokea instructions, na ndio maana ni wakatili sana na wako tayari kuua mtu yoyote.
ni kweli MUNGU ndiye msanii mkuu lakini haratibu kila ndoto anayoota mwanadamu kwasababu kuna ndoto za mizimu, kishetani ambazo hata hazihusiani naye.Kwa sababu Mungu ndie msanii mkuu na ndie huratibu ndoto zote na maisha ya mwanadamu kabla ya kuzaliwa hadi kifo
Ndio Mungu ndie hupiganisha vita visavyote vya wafalme ni yeye huandaa ili atukuke na huwaandaa hats maadui na badae kumfanya sauli mshindiKwahiyo wakina mobutu sesseseko na idd amin,hitler ni mipango ya Mungu[emoji41][emoji41]
Kumbe Mungu hana upendo anahamasisha vita(umwagaji wa damu)Ndio Mungu ndie hupiganisha vita visavyote vya wafalme ni yeye huandaa ili atukuke na huwaandaa hats maadui na badae kumfanya sauli mshindi
Ndio soma wafalme yote ktk biblia uenjoy,Mungu hupenda ubabe huandaa majuto kama aliyopitia mfalme Saudi kwa kutembea na make was askari wakeKumbe Mungu hana upendo anahamasisha vita(umwagaji wa damu)
Si kama huyu jiwe,huyu hakika alitokewa na IbilisiViongozi wa sasa hivi wanatokewa na shetani badala malaika ili kupokea instructions, na ndio maana ni wakatili sana na wako tayari kuua mtu yoyote.