Masaningala
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 543
- 199
Mimi nimewahi ziona mara nyingi zinatangazwa tena nafasi nyingi lakini mara zote nilizoomba sijwahi hata kuwa shortlisted kwa interview. Kazi kweliUmewahi kuziona nafasi za ofisi hizo zikitangazwa? Halafu tunaomba background yako, baba yako amewahi kuwa senior ofisa kwenye ofisi yoyote ya maana hapa mjini? au tu unajiona umesoma unataka kujifanya unafaa kuajiriwa kwenye hizo kazi, teh teh? Kwanza omba tu then you will learn qualifictions later zinazohitajika kwenye hizo ajira!
utapataje kazi huko na wewe sio mtoto wa mkubwa??Mimi nimewahi ziona mara nyingi zinatangazwa tena nafasi nyingi lakini mara zote nilizoomba sijwahi hata kuwa shortlisted kwa interview. Kazi kweli
Mimi ningependa kufanya kazi UWT. lakini hata TAKUKURU itakuwa powa. Napenda kuona knowlendge ndogo ya teknolojia niliyonayo inalisaidia taifa.
utapataje kazi huko na wewe sio mtoto wa mkubwa??