Kishnajr JF-Expert Member Joined Jun 15, 2022 Posts 407 Reaction score 392 Nov 1, 2023 #1 Habari zenu wadau,kama mada inavojieleza nahitaji kununua kitanda cha mbao.kwa anaeuza au kujua maeneo wanakouza vitanda vizuri anijuze wadau. Niko vikindu,mkuranga.
Habari zenu wadau,kama mada inavojieleza nahitaji kununua kitanda cha mbao.kwa anaeuza au kujua maeneo wanakouza vitanda vizuri anijuze wadau. Niko vikindu,mkuranga.