Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Kwa anayejua step za kufikia kwenye ku-verify account ya Facebook anielekeze free
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni kama Gsmarena hadi leo ina struggle kupata verification. Hii issue haijawahi kuwa na Formular inaweza chukua mwezi mpaka miaka.Kwa anayejua step za kufikia kwenye ku-verify account ya Facebook anielekeze free
Sawa mm nlijua birth certificate na ID tu kwisha maana ndivyo vinavyomtambulisha mtu. Pamoja na hivyo hayo maombi unatuma kupitia anuani(web) gani?Kampuni kama Gsmarena hadi leo ina struggle kupata verification. Hii issue haijawahi kuwa na Formular inaweza chukua mwezi mpaka miaka.
Hakikisha tu una vitu vya kuthibitisha umaarufu wako na uhalali wako, uwe na kitambulisho, documents za serikali kama Tin, kama umeandikwa kwenye Gazeti ambatanisha, Wikipedia Articles, website yako, na mambo mengine ambayo unahisi Facebook wanatakiwa wayajue kwamba wewe ni huyo unaetaka awe verified.
Kwenye App yao ama web kuna menu ya verification kwenye profile yako.Sawa mm nlijua birth certificate na ID tu kwisha maana ndivyo vinavyomtambulisha mtu. Pamoja na hivyo hayo maombi unatuma kupitia anuani(web) gani?