Wakuu naomba msaada niweze fahamu mambo muhimu wakati wa kuandika barua ya kuacha kazi.Nimepata kazi nje ya nchi yenye maslahi mazuri zaidi. Sheria inasemaje?
hivi nikitoa notice ya siku 30 naruhusiwa kuchukua likizo kama nilikuwa sijaenda likizo? Au naweza kuchukua likizo na nikatoa notice ya siku 30 kuacha kazi?