Nataka kuacha pombe. Niende kuombea kwa Kuhani Mussa au Mwamposa?

Nataka kuacha pombe. Niende kuombea kwa Kuhani Mussa au Mwamposa?

sakwano

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
303
Reaction score
830
Nina mpango jumapili kati ya hawa watumishi niende kuombewa niache pombe wakuu.

Mnanishauri nielekee wapi katika hawa?
 
Back
Top Bottom