mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 708
Mimi nipo serious mkuuMcheki Afande Sele wa morogoro atakulink huko
Ubudha una make sense kuliko Ukristo na UislamuThink twice...............kabla hujachukua maamuzi.......mkuu!!!
Wewe unayo majawabu yake?Ushawahi kujiuliza kwa nini sanamu zao zina vitambi na sura mbaya?
Ni kitu nimefikiria muda mrefu sana.Think twice...............kabla hujachukua maamuzi.......mkuu!!!
ProveUbudha una make sense kuliko Ukristo na Uislamu
Duh! kila mtu ana uhuru wa kuchagua so kama ameona una make sense ni juu yake ikiwa amefanya kwa hiari na kwa kujua anacho kifanya!Ubudha una make sense kuliko Ukristo na Uislamu
Kwenye ubudha hakuna mungu wa kuabudiwa au anayechoma watu moto, hakuna moto, hakuna mbinguni, ulimwengu uko milele tu haukuanza.Prove
Inasikitisha sana...........ila maamuzi ni yako,,,,Mkuu!!!Ni kitu nimefikiria muda mrefu sana.
Ukifanikiwa na mimi nishtue hiyo ndio huwa naona ni dini ya ukweli sana na haki, tuachane na upuuzi wa kikristo na uislamu.Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.
Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho ninayoamini inaweza kunifaa.
Kwa waliopo Dar es Salaam:
- Kuna temple/nyumba ya ibada ya Buddhist hapa?
- Nianzie wapi na niende kumuona nani?
- Kuna masharti yoyote kwa mtu anayetaka kujiunga?
- Mtu mweusi Mwafrika/Tanzania anaruhusiwa kujiunga?
Naomba mwenye uzoefu anielekeze bila judgment. Nataka kuanza kujifunza na kuelewa vizuri, lakini nia yangu ni kujiunga na Buddhism.