Yeye atakaye kunifuata na ajikane nafsi yake, auchukue msalaba wake kisha anifuate!!!Na hii ndiyo sababu inayofanya maombi kutokuwa uthibitisho wa chochote kuhusu mungu.
Asante sana mkuu. Hii ndiyo information niliyokuwa natafuta. Nitaanza kwa kufika Mindu na kuongea na viongozi wa temple. Nikifanikiwa kupata maelekezo mazuri nitashare hapa.Kila la Kheri mkuu/
Nenda mtaa wa MINDU pale Upanga kuna tempo lao
😂😂😂😂Hapo umenipa homework nyingine. Kuhusu kuchomwa , bado sijafika huko mkuu.Usisahau kabla ya kufa waachie ndugu zako pesa ya kuchoma mwili wako.
Kuchoma mwili kuna gharama kubwa tofauti na kuchimba shimo na kufukia.
Quran 29:17Ubudha una make sense kuliko Ukristo na Uislamu
Ukristo na Uislamu navijua toka mtoto. Ukristo nimeuishi, ila kuna vitu nilivyozidi kukua nikaanza kutokuendana navyo.Jipe muda pia kuusoma uislam,ndiyo dini pekee iliyonyooka na ndiyo kimbilio pekee la watu wengi Duniani.
Soma mafundisho halisi ya uislam usiwasome waislam.
Namimi nipo si ndo shoulin hawaUkifanikiwa na mimi nishtue hiyo ndio huwa naona ni dini ya ukweli sana na haki, tuachane na upuuzi wa kikristo na uislamu.
Quran 29:25Ukifanikiwa na mimi nishtue hiyo ndio huwa naona ni dini ya ukweli sana na haki, tuachane na upuuzi wa kikristo na uislamu.
"Usiwe.....na miungu......mingine ila.....MIMI"Quran 29:25
" Na (Ibrahim) alisema: Hakika nyinyi mmeyashika masanamu badala ya Mwenyezi Mungu kwa mapenzi yaliyo baina yenu katika uhai wa duniani. Kisha Siku ya Kiyama mtakataana nyinyi kwa nyinyi, na mtalaaniana nyinyi kwa nyinyi. Na makaazi yenu ni Motoni. Wala hamtapata wa kukunusuruni."
Nashukuru sana mkuuNenda Upanga, I think mindu street kama sijakosea maana kitambo kidogo...Kama umeshaamua tayari umeamua.
Watu waliombea uchaguzi hapa kilichotokea hakihitaji hata kuzungumzwaHapana mkuu!
kwa nini tukiomba kwa jina la YESU mambo yanatendeka??
Yesu hatendi lolote mimi ni shahidi, nimemuomba sana hajawai kunipa jibu lolote. Ni story tu hizo.Hapana mkuu!
kwa nini tukiomba kwa jina la YESU mambo yanatendeka??
Wunchan napata huko jeMimi ni buda mwaka wa 15 huu
Hapana mkuu!Watu waliombea uchaguzi hapa kilichotokea hakihitaji hata kuzungumzwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndo linakuja usiwe na harakaYesu hatendi lolote mimi ni shahidi, nimemuomba sana hajawai kunipa jibu lolote. Ni story tu hizo.
Kwamba watu hawakuombea uchaguzi?Hapana mkuu!
hata shetani hujigeuza kuwa malaika wa nuru!
Kuombea sio shida!!! mkuu.........ndio maana YESU anasema ya kaisari tumpe kaisari.....Kwamba watu hawakuombea uchaguzi?
Kuna maombi mengine hayasikilizwi mkuuKuombea sio shida!!! mkuu.........ndio maana YESU anasema ya kaisari tumpe kaisari.....
Kuombea sio shida!!! mkuu.........ndio maana YESU anasema ya kaisari tumpe kaisari.....
Yalitendeka?Hapana mkuu!
kwa nini tukiomba kwa jina la YESU mambo yanatendeka??