Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

Mungu wa Ibrahim(EL, Yahweh) alikuwa mmojawapo wa miungu ya Wakanaani(Canaanite gods), nitaleta uzi kuhusu hili.
 
Inaonyesha ushapita dini zote mpaka ukaamua kukimbilia huko, na huko nako utapakimbia baada ya muda. Ni dalili ya umaskini.
 
Naona afya ya akili inaanza taratibuu kukunyemeleaa

Achana na hiyo mambo usijekusema hatukukuambia
 
Yesu hatendi lolote mimi ni shahidi, nimemuomba sana hajawai kunipa jibu lolote. Ni story tu hizo.
Mwanangu omba kwa jina la Mizimu ya kweenu, hao ma-Buddha unaotaka kujiunga nae wanamuabudu Buddha yaan ni limzimu fulani lililotangulia mbele ya haki linapiga sana Hamsa, kwa hio wewe angalia Babu mzaa Babu na mzaa Babu yako na mzaa Babu yake na mzaa Babu yake mtafute yule Mwanzilishi wa kizazi cha kwenu alikua anaitwa nani then anza kumuomba huyo ndio Buddha wenu
 
Bado Yesu anakupenda. Mbinguni hatuingia kwa njia ya dini bada la kwa njia ya Yesu Kristo Bwana na Mwokozi wetu aliyekufa msalabani ili kuchukua dhambi zetu. Ni Yesu Kristo pekee ndiye anaye weza kuchukua dhambi zako na kukusamehe dhambi zako wala sio dini.
 
Mungu wa Ibrahim (EL, Yahweh) alikuwa mmojawapo wa miungu ya Wakanaani (Canaanite gods, pantheon), nitaleta uzi kuhusu hili.
Dennis Robert Shughuru
Huu ni uongo
Yehova sio mungu wa wakanaani- haiwezikani Mungu wa wakaanani awakataje uzao wa ibrahimu kuwaoa wakaanani mungu kama ni mmoja hawezi kuwa na ndimi mbili

Kuna mambo mengi ya kiroho hujui ndo maana hujui ushike lipe
 
Ukimwomba baba ako hakununulie baiskeli na asipo kununulia inabadilisha nafasi yake kuwa si baba kwako na wala hayupo?
Baiskeli ni anasa, tumia mfano wa chakula, mavazi au dawa za matibabu.

Au kama unakatwa kichwa au unabakwa na majangili halafu baba yako anakuangalia tu bila kukupa msaada basi atakuwa na yeye ni sehemu ya hao majangili, Psychopath au hana uwezo wa kupambana nao kukunasua.
 
Huu ni uongo
Yehova sio mungu wa wakanaani- haiwezikani Mungu wa wakaanani awakataje uzao wa ibrahimu kuwaoa wakaanani mungu kama ni mmoja hawezi kuwa na ndimi mbili

Kuna mambo mengi ya kiroho hujui ndo maana hujui ushike lipe
Dini ya Kiyahudi (Judaism) ilianza kama dini ya kuabudu miungu mingi (Polytheism) ikasonga kuwa dini ya kumuabudu mungu mmoja bila kuwakataa au kupinga miungu wengine (monolatry/ Henotheism) mwishowe ndipo ikawa dini ya mungu mmoja tu na kupinga miungu wengine (monotheism).

Maandiko ya Wayahudi ya biblia ya agano la kale uliyozoea kuyasoma na uliyokaririshwa yameandikwa kwa kujikita stage ya tatu wakati dini ya Kiyahudi ilipokuwa tayari imehamia katika monotheism kikamilifu, hata hivyo kuna maandiko kadhaa kwenye vitabu ya agano yanaonyesha masalia ya ushahidi wa Israel kuwa walikuwa wanaabudu miungu mingi (polytheism).
 
Wabudha hawamuombi au kumuabudu Buddha, wanajifunza tu na kumheshimu kama mwalimu mkuu ila hawamtambui Buddha kama mungu.
Kwenye Ubuddha hakuna kuabudu mungu au miungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…