little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Ukristo hauna dini nyingi ila una madhehebu mengi, hata wasabato tu bado kuna wengine wanasema tofauti na yanayoendelea leo ndani ya kanisa hilo hilo kama kweli kabisa biblia ni halisi basi ile isaya 14 ina uzito mkubwa sana mi naamini wengi sana wanafanya ibada ila sivyo inavyotakiwa.Sema ukristo una dini nyingi, hata sabato ina aina tofauti ila mimi niko SDA member!
Ngoja nijiandae nikafungue SABATO.Ukristo hauna dini nyingi ila una madhehebu mengi, hata wasabato tu bado kuna wengine wanasema tofauti na yanayoendelea leo ndani ya kanisa hilo hilo kama kweli kabisa biblia ni halisi basi ile isaya 14 ina uzito mkubwa sana mi naamini wengi sana wanafanya ibada ila sivyo inavyotakiwa.
Mnajikuta sana kama mbingu ya kwenu peke yenu enyi wanafiki, pastor D. Mmbaga akiwaambia huwa mnachukia mno enyi wanafiki.Ngoja nijiandae nikafungue SABATO.
Uwe na siku njema yenye furaha tere mkuu! na log out!!!
Karibu pia mkuu!
Hakuna Qiyama, hizo ni porojo to za Muhammad.
[/QUOTE
Quran 6:31
"Hakika wamepata hasara walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa kwa ghafla, wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba mizigo yao juu ya migongo yao. Ni maovu hayo wanayo yabeba"
Hakuna Qiyama, hizo ni porojo to za Muhammad.
Bora mtu aachr kuamini kuliko hii mental illnessJipe muda pia kuusoma uislam,ndiyo dini pekee iliyonyooka na ndiyo kimbilio pekee la watu wengi Duniani.
Soma mafundisho halisi ya uislam usiwasome waislam.
Mfano wa hovyo,baba unamuona una mgusa hizo zingine ni soga tu.Ukimwomba baba ako hakununulie baiskeli na asipo kununulia inabadilisha nafasi yake kuwa si baba kwako na wala hayupo?
Mpe sababu ya kuachana na hiyo mambo.Naona afya ya akili inaanza taratibuu kukunyemeleaa
Achana na hiyo mambo usijekusema hatukukuambia
Ukiondoa kiyama,adhabu ya kabuli ni hogu gani nyingine tena mnaitumia kurubuni watu wawe katika dini yenu.mtakataaana siku ya Qiyama nyinyi na masanamu yenu mnayoyaabudu leo hii hapa duniani
kama unaona kuelezwa mambo yajayo ni ulaghai basi baki katika njia yako....uzuri ni kuwa sisi sote tutakufa na tutakwenda jua kama haya yanayosemwa ni uongo ama laaa....Ukiondoa kiyama,adhabu ya kabuli ni hogu gani nyingine tena mnaitumia kurubuni watu wawe katika dini yenu.
Una maanisha nini?Nguruwe ameogeshwa vizuri sasa ameamua kurudi na kulukaluka kwenye matope
Ulimpokea yesu kuwa bwana na mwokozi wako akakusamehe dhambi zako ukawa na moyo msafi sasa unataka kurudi na kuuchafua moyo wako na kwenda kuabudu sanamu.Una maanisha nini?