Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enclomiphene mkuuTaja jina la dawa usaidiwe
Subiri kidogoEnclomiphene mkuu
Poa nisaidie km ipoSubiri kidogo
Ni ya kutibu nini? Pm kama utaona aibuEnclomiphene mkuu
Enclomiphene is a prescription medication that restores normal testosterone levels in men with low testosterone levels. Unlike TRT, enclomiphene does not cause many serious side effects or decrease or stop sperm production and fertilityNi ya kutibu nini? Pm kama utaona aibu
OkayEnclomiphene is a prescription medication that restores normal testosterone levels in men with low testosterone levels. Unlike TRT, enclomiphene does not cause many serious side effects or decrease or stop sperm production and fertility
Kama huyu mtoa mada ana moto mchache kwenye mjegeje naona
Dawa zipo nyingi tu class moja na hio pm kwa msaada zaidi ila hio enclomiphene jaribu kwenye pharmacy za wahindi unaweza ipataWadau nina shida na dawa moja lakini nimetafuta kwa hapa Tanzania haipo nataka kuagiza India naomba mwenye connection ya huko anisaidie au kama kuna mtu huwa anaagiza vitu huko anisaidie niwasiliane nae.
Naomba kuwasilisha wakuu.
Asante mkuuDawa zote zinazoingia hapa nchini sharti zisajiliwe na TMDA (Zamani TFDA).Anzia na tovuti ya TMDA (www.tmda.go.tz) kuna Link ya Usajiri.Kama haijasajiliwa ina maana Inabidi iagizwe Kwa Kibali maalum,pia Kwa cheti cha daktari.Lakini dunia ni Kijiji,waweza jaribu Kenya au SA kabla ya kuulizia India.
Nimekucheki pmDawa zipo nyingi tu class moja na hio pm kwa msaada zaidi ila hio enclomiphene jaribu kwenye pharmacy za wahindi unaweza ipata