Kwa buses na lorries hio ni mileage ya kawaida Tu.Duh,
Unaagiza Chuma from Japan
Afu dashbodi kinasoma Mileage ya 973,000+ km
Chuma kimetembe kilometa Millioni Kasoro [emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna wasiwasi hiki kibasi hata mbinguni kimefika kwa mileage hizo.Duh,
Unaagiza Chuma from Japan
Afu dashbodi kinasoma Mileage ya 973,000+ km
Chuma kimetembe kilometa Millioni Kasoro [emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app