LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Feb 2, 2025 #1 Ni kifaa Cha matumizi ofisini kwangu kina thamani ya 200,000 tu
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Feb 2, 2025 #2 Kifaa gani
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 Feb 2, 2025 #3 Ndio mkuu kitachajiwa kodi, ila kwa ninavyoelewa kuna baadhi havichajiwi au vina msamaha wa kodi kutokana na matumizi yake
Ndio mkuu kitachajiwa kodi, ila kwa ninavyoelewa kuna baadhi havichajiwi au vina msamaha wa kodi kutokana na matumizi yake
LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Feb 2, 2025 Thread starter #4 Sangizi said: Ndio mkuu kitachajiwa kodi, ila kwa ninavyoelewa kuna baadhi havichajiwi au vina msamaha wa kodi kutokana na matumizi yake Click to expand... Shadow7 said: Kifaa gani Click to expand...
Sangizi said: Ndio mkuu kitachajiwa kodi, ila kwa ninavyoelewa kuna baadhi havichajiwi au vina msamaha wa kodi kutokana na matumizi yake Click to expand... Shadow7 said: Kifaa gani Click to expand...
hermanthegreat JF-Expert Member Joined Mar 2, 2021 Posts 1,274 Reaction score 3,282 Feb 2, 2025 #5 Hakuna kodi, agent wako wanaokusafirishia mzigo wako wanamalizana nayo wewe unatoa pesa ya nauli tu mzigo unaenda kuuchukulia kwenye magodowns yao bure kabisa sio bandarini
Hakuna kodi, agent wako wanaokusafirishia mzigo wako wanamalizana nayo wewe unatoa pesa ya nauli tu mzigo unaenda kuuchukulia kwenye magodowns yao bure kabisa sio bandarini
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Feb 2, 2025 #6 Wasiliana na shipping agency wako. Gharama watakazokupa zitakuwa zimejumuisha kodi humo humo
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 3,711 Reaction score 6,762 Feb 2, 2025 #7 Ok fuata ushauri huo tyr!