Sina details nzuri lakini nakumbuka kunajamaa yangu alinunua mashine ya photocopy ilipofika alibanwa na akalipa kodiWana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.
Wana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.
hata ukiwa na computer zaidi ta kumi hakunda ushuruHakuna ushuru baba...unatoa docs zako unakamata parcel yako..ila lazima wafungue box kuhakiki kilichomo
Computer zote hazilipiwi ushuru but ukiagiza monitor peke yake ujue ushuru unakuhusu ishanikuta niliagiza monitor wakaniambia ni TV ..nilichoka! maana walikomaa na mimi hadi basi ni kweli kuna monitor amabazo zina TV but hii niliifungua na kuwaonyesha mwanzo mwisho kuwa this is just a monitor kwani nilieleweka i was like speaking Chines na mndengeleko..

Hizi monitor ziko wapi ? mbona na mimi nimechoka. ....
kuuliza si ujinga ebu nieleweshe au nipe link hapo kwenye bold hizo monitor zenye TV.......
you are right I was about to post the same answer.Nafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'
hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani
Umenena na ndio siku hizi watu wanatumia wanapofanya presentations badala ya projectorNafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'
hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani
na hizo unazoziona kwenye Mitandao bei ni poa lakini baadhi ya mitandao mingine ni Feki unaweza kuibiwa mimi nipo nje ya Nchi ukitaka Laptop wasiliana na mimi naweza kukusaidia ikiwa utaniamini Ni P.M. ukiwezaWana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.
Hizi monitor ziko wapi ? mbona na mimi nimechoka. ....
kuuliza si ujinga ebu nieleweshe au nipe link hapo kwenye bold hizo monitor zenye TV.......
Nafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'
hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani
Monitors > LCD 25" and AboveSamsung P2770HD 27" LCD Monitor - 1080p, 1920x1080, 16:9, 5ms, 50000:1 Dynamic, 1000:1 Native, VGA, DVI, HDMI, TV Tuner.............