Nataka kuagiza mzigo Alibaba

Nataka kuagiza mzigo Alibaba

KISUNZU YP

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
114
Reaction score
37
Wadau habari za leo naomba kupata majibu. Nina mpango wa KUAGIZA MZIGO wa mashine ya kusaga karanga. Je, nitaibiwa au ni salama mizigo itafika?
 
Kama una mashaka, tafuta kampuni ikuagizie, wewe uilipe kampuni
 
Back
Top Bottom