KISUNZU YP Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 114 Reaction score 37 Jun 6, 2022 #1 Wadau habari za leo naomba kupata majibu. Nina mpango wa KUAGIZA MZIGO wa mashine ya kusaga karanga. Je, nitaibiwa au ni salama mizigo itafika?
Wadau habari za leo naomba kupata majibu. Nina mpango wa KUAGIZA MZIGO wa mashine ya kusaga karanga. Je, nitaibiwa au ni salama mizigo itafika?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jun 6, 2022 #2 Kama una mashaka, tafuta kampuni ikuagizie, wewe uilipe kampuni