Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiasi kilichowekwa alibaba sio kiasi halisi unachotakiwa kulipiaNimepita Alibaba site nimeona RIMS za gari ambazo bei ni nafuu sana ukilinganisha na wauzaji wa hapa ambazo ni ghali sana.
Ahsante sana, nitakucheki mkuuKiasi kilichowekwa alibaba sio kiasi halisi unachotakiwa kulipia
Ili kujua kiasi halisi: Fanya mawasiliano na seller, mwambie akuepe CIF price kwa DSM port, hapo ndio utaweza linganisha bei na wauzaji wa hapa nchini, baada ya kuwa umeongeza KODI/VAT katika hiyo CIF.
www.bi.ly/101buy4me
Karibu
Ushuru wa spare parts za Magari cif calculate yake inakuaje,vipi una mambo ya uchakavu,kuuplift.nk au ni flat rate.Kiasi kilichowekwa alibaba sio kiasi halisi unachotakiwa kulipia
Ili kujua kiasi halisi: Fanya mawasiliano na seller, mwambie akuepe CIF price kwa DSM port, hapo ndio utaweza linganisha bei na wauzaji wa hapa nchini, baada ya kuwa umeongeza KODI/VAT katika hiyo CIF.
www.bi.ly/101buy4me
Karibu
Mkuu salama lkin [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji2] [emoji2] [emoji2]