Nataka kuagiza Rims za gari yangu ushuru upo vipi?

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Salaamu wadau,

Nimepita Alibaba site nimeona Rims za gari ambazo bei ni nafuu sana ukilinganisha na wauzaji wa hapa ambazo ni ghali sana.

Naomba kujua gharama za kodi, kwa wallio wahi kuagiza!

Natanguliza shukrani zangu!
 
Nimepita Alibaba site nimeona RIMS za gari ambazo bei ni nafuu sana ukilinganisha na wauzaji wa hapa ambazo ni ghali sana.
Kiasi kilichowekwa alibaba sio kiasi halisi unachotakiwa kulipia

Ili kujua kiasi halisi: Fanya mawasiliano na seller, mwambie akupe CIF price kwa DSM port, hapo ndio utaweza linganisha bei na wauzaji wa hapa nchini, baada ya kuwa umeongeza KODI/VAT katika hiyo CIF.

www.bit.ly/101buy4me

Karibu
 
Ahsante sana, nitakucheki mkuu
 
Final price = (CIF price X 1.25 Import duty) X 1.18 Vat + Other incidental costs such as clearance
 
Ushuru wa spare parts za Magari cif calculate yake inakuaje,vipi una mambo ya uchakavu,kuuplift.nk au ni flat rate.
 
Nakushauri ununue tu hapa maana usumbufu utakaopata ukiagiza utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…