Nataka kuagiza simu ali express

Nataka kuagiza simu ali express

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
Screenshot_20211017-092119.jpg
Screenshot_20211230-094948.jpg
 
Itapiga kazi.
Ila hapo kwenye free shipping sijui kama utapa mzigo wako. Tumia DHL express kama utaweza kumudu gharama. Kila kheri.
Sijawai kosa mzigo kwa free shipping mingi nikiagiza inakuja full isipokua kuchelewa ila simu Mara zote free shipping zinawai kuja bila shida mkuu asante kwa maoni.
 
Itapiga kazi.
Ila hapo kwenye free shipping sijui kama utapa mzigo wako. Tumia DHL express kama utaweza kumudu gharama. Kila kheri.
Acha uoga aliexpress standard shipping mizigo hufika salama kabisa , dhl atalipia bei sawa na sim au zaidi
 
Mwambie seller akuandikie bei nje ya box la mzigo ili ukifika bandari usikutane na bei za ajabu.
 
Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
View attachment 2062472View attachment 2062471
Mkuu usiogope ilemradi uwe na sanduku lako la posta mzigo utakufikia, tena wanatoa mpaka track record mzigo ulipo hvyo ukisafirisha na aliexpress wenyewe mzigo utakufikia bilashaka, ila ndio utasubiri ndani ya siku 30
 
Situmii sanduku la posta ila mizgo yangu ua naipata vizur tu mkuu
 
Back
Top Bottom