kalagwena
Member
- Oct 20, 2019
- 15
- 20
KIMOMWEMOTORS Mkuu nataka kuagiza toyota crown royal saloon ya mwaka 2008, cc 2500 na mileage kama km 115000. Mpaka unanikabidhi nitenge Tshs ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuuKIMOMWEMOTORS Mkuu nataka kuagiza toyota crown royal saloon ya mwaka 2008, cc 2500 na mileage kama km 115000. Mpaka unanikabidhi nitenge Tshs ngapi?
Kheri ya Mwaka mpya kwako. Shukrani kwa swali lako boss. Gari hiyo gharama yake kwa sasa huanzia 13.5m mpaka mkononi. Zaidi tupigie sim namba 0746267740KIMOMWEMOTORS Mkuu nataka kuagiza toyota crown royal saloon ya mwaka 2008, cc 2500 na mileage kama km 115000. Mpaka unanikabidhi nitenge Tshs ngapi?
Andaa 20mMajesta inasimamia ngapi?