Nataka kuamia dar,naomba ushauri wako wewe mkazi wa dar

mkuu kwa eneo nililonalo dar nikifanikiwa kupata hiyo mbegu na niwe na ngombe wanne sampuli hiyo kwanini nisitoke kimaisha?

Ya wale Ng'ombe ni Balaa sasa ukiona Madume yake ndo balaa tupu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…