Kwani mtoa mada amesema apiemiwe sjui kupiemiwa jamani...?
Basi ni hii mada si angewaletea hukohuko PM...?
Mnajua maana ya JF lakini wadau "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY".
hii inasaidia hata kama kuna mtu mwengine mwenye shida kama hii akisoma comments za hapa na yeye atajifunza kitu.
Kwa nini msielezee hapahapa jukwaani ndugu...? Mnaweza kutuambia sababu kuu za kufanya nyie mtoe maelezo yenu huko PM na sio hapa...?
Mnachoogopa kuelezea hapa ni kitu gani kufanya tusihisi nyie kuwa mna harufu ya utapeli...?