Ok,.. Ila ujue changamoto ni nyingi na inahitaji moyo sana ingawa mimi sijawahi kuifanya. Mara nyingi naona kuna watu wanapeleka Congo ila fanya kitu kimoja.. Nenda mpaka wanapouza hautukosa mtu wa kukupa ukweli faida na hasara. Mangapwani ndo naona kazi hiyo inafanyika sana.Ukitaka kufanya kitu unakusanya taarifa sehemu tofauti toafauti sio kuingia kichwa kichwa
Asante kwa ushauriOk,.. Ila ujue changamoto ni nyingi na inahitaji moyo sana ingawa mimi sijawahi kuifanya. Mara nyingi naona kuna watu wanapeleka Congo ila fanya kitu kimoja.. Nenda mpaka wanapouza hautukosa mtu wa kukupa ukweli faida na hasara. Mangapwani ndo naona kazi hiyo inafanyika sana.
Picha ya Nini?Picha kwanza, mazungumzo baadaye.
Labda ya maelezo ya dagaa.Picha ya Nini?
Hahaha yanaweza kuwa na picha kweli?Labda ya maelezo ya dagaa.
Fanya mambo yako mamaaa huwajui watoto wa humu?Picha ya nini mkuu kuna mtu asiyejua dagaa??
Waweza kushare basi hapa ili tujue kama kunafikika, sifa ya jf ni uwazi na kusaidiana.Luna maeneo tofauti tofauti nmepata na bei yake naona ipo vyema
dagaa wa nyama wapoje ndo kama wale wa kigoma auWaungwana habari zenuu..... Najua jambo likiletwa huku hakiharibiki kitu maana huku wapo watu wakila namna....
Niende moja kwa moja kwenye key point...
Nataka kuanza kuafanya biashara ya dagaa nyama sasa kama kuna wajuzi naomba waje wanipe changamaoto za hii biashara napenda kujua changamoto ili nijipange kisawasawa kuliko kujua faida zake tuu pekee.... Mahali wanapopatikana nshapajua ingawa sio sanaa nlikua nawaza na masoko yake nna tanguliza shukrani zangu za dhati
Wewe mwenyewe Unaonekana ni mchoyo wa taarifa alafu unataka upewe taarifa?Luna maeneo tofauti tofauti nmepata na bei yake naona ipo vyema