Samahani inawezekana kaniomba taarifa nisiyokua na taarifa nayo ndo maana umeona nmemjibu tofautiWewe mwenyewe Unaonekana ni mchoyo wa taarifa alafu unataka upewe taarifa?
Mdau hapo juu kakuomba taarifa umempa sijui kitu gani alafu unataka watu wakupe taarifa?
Hongera kwa uthubutu ndugu, ok ili uanze bishara kuna viti vitatu (03) muhimuWaungwana habari zenuu..... Najua jambo likiletwa huku hakiharibiki kitu maana huku wapo watu wakila namna....
Niende moja kwa moja kwenye key point...
Nataka kuanza kuafanya biashara ya dagaa nyama sasa kama kuna wajuzi naomba waje wanipe changamaoto za hii biashara napenda kujua changamoto ili nijipange kisawasawa kuliko kujua faida zake tuu pekee.... Mahali wanapopatikana nshapajua ingawa sio sanaa nlikua nawaza na masoko yake nna tanguliza shukrani zangu za dhati
Asante kwa ushauriHongera kwa uthubutu ndugu, ok ili uanze bishara kuna viti vitatu (03) muhimu
1. Mtaji
2. Eneo
3. Elimu/uelewa wa biashara husika.
Ili biashara ikue kuna vitu viwili (02) muhimu:-
1. Huduma kwa mteja
2. Kuridhika kwa mteja.
Jaribu kuwa na majibu kwa yale yenye kuhitaji majibu na kifanyia kazi yale yenye hitaji la namna hiyo. Kuwa karibu na wenye uzoefu juu ya biashara husika na weka jitihada ktk kutafuta masoko. Kumbuka KUJITOFAUTISHA kibiashara kwa kuwa mbunifu n kuongeza thamani ya kile unachokiuza, kiwe chako tu hali inayoweza kukuongezea soko kwani kwa kidanya hivyo bidhaa yako itapatikana kwako tu hivyo kila mwenye uhitaji atalazimika kukufuata na si vinginevyo, hapo unaongeza mauzo = faida.
Ni hayo machache kwa sasa, karibu tena na hongera maradufu kwa uthubutu.
Karibu sana.Asante kwa ushauri
Sisi watu wabara hao dagaa ndo tunawasikia leo,tushazoea dagaa hawa wa kawaida wa mwanza,Nenda sokoni mkuu ulizia dagaa nyama utawaona..... Wakipikwa wanavimba alafu wanachumvi pia nadhani wanawaita dagaa nyama coz wanakua na nyama nyama (sijui nieleze vipi) wanapokua mdomoni