Komando kipen
Member
- Jul 13, 2021
- 54
- 49
Nataka kufanya biashara ya dagaa wa Mwanza kupereka Dar nilikua naulizia Kama kunamwenye uzoefu wa soko la dagaa Dar sasa hivi wana bei gani !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la biashara ya dagaa ni pasua kichwa, nmeifanya Sana business hyo, nliambulia hasara na kufikishana Mahakamani, lakin mpaka Sasa cjapata hela yoyote Pamoja na kuwa hakimu alitoa siku 30 npewe hell yngu!Nataka kufanya biashara ya dagaa wamwanza kupereka dar nilikua naulizia Kama kunamwenye uzoefu wa soko la dagaa dar sasahivi wanabeigain !!!
Yan Mimi sijakuelewa kudaiyana unamaana gan ulikua unakopesha ?Suala la biashara ya dagaa ni pasua kichwa, nmeifanya Sana business hyo, nliambulia hasara na kufikishana Mahakamani, lakin mpaka Sasa cjapata hela yoyote Pamoja na kuwa hakimu alitoa siku 30 npewe hell yngu!
Lakin, nsikukatishe tamaa, Kila mtu na bahat yake unaweza jaribu, ila kwa ushaur wngu fanya Biashara nyngne!
No, Kuna aina mbili za dagaa ambazo unaweza uza hko, Kuna dagaa chakula ya Binadamu, pia Kuna dagaa chakula ya kuku!Yan Mimi sijakuelewa kudaiyana unamaana gan ulikua unakopesha ?
Mini nafanya dagaa chakura ya binadamuNo, Kuna aina mbili za dagaa ambazo unaweza uza hko, Kuna dagaa chakula ya Binadamu, pia Kuna dagaa chakula ya kuku!
Dagaa chakula ya kuku, mauzo yake Ni kwenye viwanda vinavyotengeneza vyakula vya kuku!
Dagaa ya Binadamu, Ni kwenye masoko, manzese, temeke haswaa ndo nayofahamu zaidi!
Sijajua wewe unataka kufanya ipi?
Pia kwa kawaida hakuna anaependa kukopesha, unapokusanya mzigo zen ukapata soko, mnunuzi anakupa uhakika kuwa hella ipo yote, na mnakubaliana kilo ni kias gan, but ukiishafikisha mzigo yanaanza maluelue, utaskia Kuna hik mara kile, mara naomba cku mbil hzi uvumilie nakupa hela yote, Sasa ukiangalia mzigo ushafika inabid uwe Kama piriton Kwanza!
Okay! Tafuta connection na madalali kwenye masoko hayo Kwanza, Kila soko mtafute pia m/kit wa soko, zen mueleze atakupa connection kwa wanunuzi wa dagaa!Mini nafanya dagaa chakura ya binadamu
Wapo wanaofanya hii biashara na kupata mafanikio makubwa tu, ulichotakiwa kufanya ni kuangalia namna gani ya kutatua hizo changamoto ulizokutana nazo.Suala la biashara ya dagaa ni pasua kichwa, nmeifanya Sana business hyo, nliambulia hasara na kufikishana Mahakamani, lakin mpaka Sasa cjapata hela yoyote Pamoja na kuwa hakimu alitoa siku 30 npewe hell yngu!
Lakin, nsikukatishe tamaa, Kila mtu na bahat yake unaweza jaribu, ila kwa ushaur wngu fanya Biashara nyngne!
Dagaa huku visiwani ukerewe ndoo kubwa ni elf 11, had 12 kwa mwezi huu, maana mi nachukulia huku kupeleka kwenye masoko ya musomaKwa mwanza,gunia ni bei gani?
Musoma vipi soko lipoDagaa huku visiwani ukerewe ndoo kubwa ni elf 11, had 12 kwa mwezi huu, maana mi nachukulia huku kupeleka kwenye masoko ya musoma
Dagaa wa nyasi ndio kitu gani?! Nimeulizia hapa kwa faida ya wote ili tuelewe.JE UNAHITAJI DAGAA WASAFI WA NYASI TUNAPATIKANA MWANZA KIRUMBA MWALONI, MKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA TUNAWEZA WASILIANA WHATTSAPP AU PIGA 0755213580
Hawa ni dagaa baada ya kutoka ziwani wana anikwa kwenye nyasi ili wakauke ,ambapo ni tofauti na dagaa wengine wana anikwa kwenye uwanja au mchanga usio na nyasi.nadhani umenielewaDagaa wa nyasi ndio kitu gani?! Nimeulizia hapa kwa faida ya wote ili tuelewe.
Dogo wee acha tu. Ila sijakata tamaaNatumae mleta mada ulipata muongozo...