walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,796 Reaction score 5,553 Nov 24, 2022 #21 Immortan joe said: Dagaa huku visiwani ukerewe ndoo kubwa ni elf 11, had 12 kwa mwezi huu, maana mi nachukulia huku kupeleka kwenye masoko ya musoma Click to expand... Mkuu kwa musoma nasikia kuna visiwa vya lukuba napo dagaa linapatikana kwa wingi sana vp ushawai kwenda kufata mzigo uko? Pia umesema mzigo unaleta musoma iyo musoma na uko vijijini au ni mjini kabisa hapa mkuu?
Immortan joe said: Dagaa huku visiwani ukerewe ndoo kubwa ni elf 11, had 12 kwa mwezi huu, maana mi nachukulia huku kupeleka kwenye masoko ya musoma Click to expand... Mkuu kwa musoma nasikia kuna visiwa vya lukuba napo dagaa linapatikana kwa wingi sana vp ushawai kwenda kufata mzigo uko? Pia umesema mzigo unaleta musoma iyo musoma na uko vijijini au ni mjini kabisa hapa mkuu?
waziridagaa Member Joined Nov 13, 2022 Posts 18 Reaction score 24 Nov 24, 2022 #22 proskaeur said: Unauzaje kwa ndoo Click to expand... Piga 0755213580 kwa sababu bei ina change kila siku kufuatana na uvuvi siku hiyo
proskaeur said: Unauzaje kwa ndoo Click to expand... Piga 0755213580 kwa sababu bei ina change kila siku kufuatana na uvuvi siku hiyo
waziridagaa Member Joined Nov 13, 2022 Posts 18 Reaction score 24 Nov 24, 2022 #23 Jerhy said: Je unawauzaje? Kwa ndoo, gunia, ni Aina gani ya hao dagaa Click to expand... 0755213580 piga mkuu bei kila siku ina change
Jerhy said: Je unawauzaje? Kwa ndoo, gunia, ni Aina gani ya hao dagaa Click to expand... 0755213580 piga mkuu bei kila siku ina change
rommy shabby JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 1,123 Reaction score 1,302 Nov 28, 2022 #24 Vipi sato wakavu wanapatikana huko
waziridagaa Member Joined Nov 13, 2022 Posts 18 Reaction score 24 Dec 3, 2022 #25 rommy shabby said: Vipi sato wakavu wanapatikana huko Click to expand... Yaa
Tyrone Kaijage JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 1,617 Reaction score 3,405 Dec 3, 2022 #26 Hivi Sato anauzwa kwa kilo? Kilo ni sh ngapi kwa bei standard?
J jumaayubu508 New Member Joined Jun 23, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Jul 25, 2023 #27 waziridagaa said: Piga 0755213580 kwa sababu bei ina change kila siku kufuatana na uvuvi siku hiyo Click to expand... Habari nilikuwa nahitaji kuanzisha hiyo biashara nahitaji muongozo
waziridagaa said: Piga 0755213580 kwa sababu bei ina change kila siku kufuatana na uvuvi siku hiyo Click to expand... Habari nilikuwa nahitaji kuanzisha hiyo biashara nahitaji muongozo