Kwanza fridge muhimu,ukipata mbili lile la kulaza na tower moja la malango wa kioo ambalo utajengea kwa njee.
Mizani
Then, nunua mahitaji yafwatayo.
Unga sembe kilo 25 viroba @5
Unga sembe kilo 5 " @5
Unga Dona kilo 25 kiloba @1
Sukari kg 50 " @1
Sukari kg 1 package 10
Michele kg 50 grade 1
Mchele kg 50 wa kawaida
Mafuta ya kula ndoo kubwa @2
Mafuta yakula liter 1 vidum v 5
Mafuta yakula [emoji258] liter 1 kopo 5
Mafuta taa liter 20
Tambi box 2
Marangwe soya njano kg 25
Maragwe red kg 25
Vifaa,
Bulb [emoji362] watt 50 piece 5
Bulb watt 18 energy sever 10
Bulb za bei chee chini ya watt 12 piece 10
Mifangio ya ndani piece na vifaa vya usafi piece 10 changanya aina.
Battery [emoji367] box 5 changanya aina ndogo kubwa na kati,
Vinjwaji, Hapa take away, soda chumba Crete,Maziwa mtindi hapa chukua kidogo kidogo kwa kuchanganya aina.
Usisahau, Vipodoz, pen, mafuta ngoz, madaftar, giki, Sabuni ya kufunga nunua mfuko 1 then funga vidogo vile vya jero jero, sabuni jamaa box 2 ,Omo, forma packets,Sabuni Magadi, Majani ya chai zile za box na packets, jojo,biscute box ,deto kipande na maji, Dawa za kuu mbuu rugu nk, Lesso,Vitu hivi chukua kidogo kidogo kwa kuchanganya aina.