ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Kama heading inavyo sema ,katika harakati zangu za kusaka pesa nimepata wazo la kufanya hii biashara. Huku niliko maziwa yanapatikana kwa wingi sana kwa bei ya chini,mpango wangu ni kununua maziwa fresh na kuyagandisha mwenyewe kisha kusafirisha mpaka dar.
Ningependa kupata maoni na ushauri kutoka kwenu kuhusu changamoto, vikwazo,fursa nk kwenye hii kazi. Target yangu ni angalau kuleta Lita 200 kila wiki sokoni kwa kuanzia huku nikitegemea demand kuongezeka mpaka angalau Lita 1000 kwa wiki.
Mchango wenu na ushauri utapokelewa kwa mikono miwili.