Njia ya kwenda airport dar es Salaam maeneo ya kipawa.Wanapatikana wp
Binafsi nahitaji lita 20 ila hiyo bei yako ndo inakwamisha!Dumu la lita ishirini kama uko dar ni elfu 50
Mkuu vipi kuhusu makopo ulifanikiwa kupata ?Njia ya kwenda airport dar es Salaam maeneo ya kipawa.