Nataka kuanza biashara ya tofali

Nataka kuanza biashara ya tofali

GARDENER255

Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
12
Reaction score
9
Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini.
Na hivo vifaa navipata kwa bei gan.

Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na bei. Mimi nipo Tanga, Pangani.
 
Vifaa vinavyohitajika ni mixer ya kuchanganyia udongo, vibrator machine ya kufyatua tofali, vibao angalau 1000 vya kuanzia, tank la kuhifadhi maji na uchimbe kisima na kufunga mota ya kupump maji kwenda kwenye tank na kupeleka kwenye umwagiliaji.
Pia utengeneze box za tofali inchi 4, 5 na 6, sababu ukinunua machine hazitakuja na box zake.
 
Thx mchango muhimu sana huu
 
Samahan, et siwezi kuanza na ya Bam Bam
 
Unaweza ukaanza nayo mkuu, kama eneo lako Kuna wapigaji wa izo bambam sawa, maana maeneo mengne mafundi wa kukupigia kwa bambam ni shida kuwapata wengi wameshaamia kwenye mixer na vibrator mashine.
Huku bado hakujashangamka kivile mkuu.
 
Back
Top Bottom