GARDENER255
Member
- Nov 2, 2021
- 12
- 9
Vifaa vinavyohitajika ni mixer ya kuchanganyia udongo, vibrator machine ya kufyatua tofali, vibao angalau 1000 vya kuanzia, tank la kuhifadhi maji na uchimbe kisima na kufunga mota ya kupump maji kwenda kwenye tank na kupeleka kwenye umwagiliaji.Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini.
Na hivo vifaa navipata kwa bei gan.
Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na bei. Mimi nipo Tanga, Pangani.
Thx mchango muhimu sana huuVifaa vinavyohitajika ni mixer ya kuchanganyia udongo, vibrator machine ya kufyatua tofali, vibao angalau 1000 vya kuanzia, tank la kuhifadhi maji na uchimbe kisima na kufunga mota ya kupump maji kwenda kwenye tank na kupeleka kwenye umwagiliaji.
Pia utengeneze box za tofali inchi 4, 5 na 6, sababu ukinunua machine hazitakuja na box zake.
Pamoja mkuu, kila la kheri.Thx mchango muhimu sana huu
Samahan, et siwezi kuanza na ya Bam BamVifaa vinavyohitajika ni mixer ya kuchanganyia udongo, vibrator machine ya kufyatua tofali, vibao angalau 1000 vya kuanzia, tank la kuhifadhi maji na uchimbe kisima na kufunga mota ya kupump maji kwenda kwenye tank na kupeleka kwenye umwagiliaji.
Pia utengeneze box za tofali inchi 4, 5 na 6, sababu ukinunua machine hazitakuja na box zake.
Unaweza ukaanza nayo mkuu, kama eneo lako Kuna wapigaji wa izo bambam sawa, maana maeneo mengne mafundi wa kukupigia kwa bambam ni shida kuwapata wengi wameshaamia kwenye mixer na vibrator mashine.Samahan, et siwezi kuanza na ya Bam Bam
Huku bado hakujashangamka kivile mkuu.Unaweza ukaanza nayo mkuu, kama eneo lako Kuna wapigaji wa izo bambam sawa, maana maeneo mengne mafundi wa kukupigia kwa bambam ni shida kuwapata wengi wameshaamia kwenye mixer na vibrator mashine.