Nataka kuanza biashara ya viungo (spices)

Nataka kuanza biashara ya viungo (spices)

Atui

Senior Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
178
Reaction score
221
Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu.

Wazoefu wanipe uzoefu biashara ikoje mikoa Gani ina wateja nitumie njia Gani kujipenyeza sokoni.
 
Nakushauri anza tu hata kwa mtaji mdogo mhimu zingatia labor nzuri changanya na vitu vya asili vilivyo adimu kisha washauri wateja .
 
Back
Top Bottom