Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu.
Wazoefu wanipe uzoefu biashara ikoje mikoa Gani ina wateja nitumie njia Gani kujipenyeza sokoni.