Mtoto_wa_G
New Member
- Sep 14, 2016
- 2
- 1
Niaje wadau, nahitaji mawazo yenu, nataka kuanza kuuza maziwa FRESH ya Ng'ombe. Soko lake mnalionaje ukizingatia kuna substitute za Bakhresa na Tanga FRESH.
Tafadhali ongea pointi sio kubwabwaja..
Tafadhali ongea pointi sio kubwabwaja..